azam

  1. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya 10 0-0 dakika 13 yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside dakika...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

    All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5' Game on 0-0 DK 10' Mpira unaendelea 0-0 DK 19' Goooooooooooal Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Azam FC vs Simba SC tutegemee kuona makosa ya kibinadamu kwa marefa, kadi za michongo na penati ili Simba SC wachukue Kombe la Muungano

    Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu. Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
  5. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
  6. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

    Wakuu Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam. Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu Kama msimu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Azam yaifuata simba fainali muungano

    USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Azam imepata ushindi huo kupitia mabao ya Abdul Sopu dakika ya 7 na 42, huku wafungaji wengine wakiwa ni Nathaniel...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam TV ni burudani kwa wote au burudani kwa waliolipia? Nashauri wabadili kauli ile

    Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana zinajirudia rudia tu kuanzia visa mpk wahusika. Hv kuna tofauti gani Kati ya Ertugurul, The Othoman...
  12. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Kumbe Azam amecheza leo?

    Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  16. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  17. snipa

    JamiiForums Tanzania Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga wametoka kugombana na CAF sasa wamehamia kwa Azam TV

    Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.😄😀 Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao...
  19. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uliotumika kubadili Azam Federation Cup hadi kuwa CRDB Federation cup ni upi?

    Naomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe Natanguliza Shukranii .
Back
Top Bottom