azam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viroba vya kilo 50, kama vile vya Azam vya unga wa ngano

    Jamani, Kama kuna mtu anajua kiwanda kinachotengeneza ville viroba, naomba anisaidie contact, nina shida navyo.
  2. JamiiForums Tanzania Simba Yavamia Zanzibar Kumng'oa Feitoto Azam FC, Yanga Yatajwa Kumrudisha Kaze

    Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
  3. JamiiForums Tanzania Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

    Kuna watu wana bahati duniani. Hivi Fei TOTO ni wa kulipwa hela hizi zote, kwa lipi hasa? Simba walikuwa wanajichosha bure kumlilia Fei.
  4. JamiiForums Tanzania Ibenge alikuja Azam kujiharibia CV yake

    Ibenge ni Coach wa hadhi ya juu barani Africa alifanya makubwa akiwa na As Vita akaenda Al Hilal akacheza semi final ya CAFCL Kwa CV ya Ibenge haikufaa kuja kufundisha Azam Leo yupo Azam kujimaliza, timu haina uelekeo Leo Azam wamenikera mno Naheshimu maamzi yake labda alifata fedha
  5. JamiiForums Tanzania Kipa wa Azam SC afariki kwa ajali ya boda boda

    Kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U20) ya Azam FC, Iddy Salim, amefariki dunia baada ya kupata ajali ya bodaboda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Ijumaa Septemba 11, 2026, kipa huyo alifariki dunia jana katika ajali hiyo. “Tunasikitika kutangaza kifo cha kipa...
  6. JamiiForums Tanzania Azam TV yaongeza channel mpya Azam Sports 5 HD

    Kampuni kubwa ya media East Africa Azam media wameongeza channel mpya ya mpira ya Azam sports 5 HD na kufanya wawe na jumla ya channel 10. Katika hizo channel 10, tisa ni HD na moja ni ya matangazo, hii inafanya iwe ni kampuni kubwa inayomilikiwa na wazawa Afrika nzima Haya ni mapinduzi...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Kongole kwa Azam Media

    Leo ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza na Azam wameonesha mechi zote vizuri sana.Nimefurahishwa sana na muonekano mpya wa studio zao,tofauti kabisa na ule muonekano wa studio walipokuwa wanainesha kombe la dunia.
  10. JamiiForums Tanzania Ile ilikuwa VAR au Azam Tv?!

    Tanzania utani ni mwingi sana. Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
  11. JamiiForums Tanzania KERO AZAM TV huduma kwa wateja kwa njia ya simu ni bomu jingine

    Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja. 1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
  13. JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  15. JamiiForums Tanzania Maktaba Yaalikwa AZAM TV

    1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu". 2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet) Anabainisha kuwa ingawa...
  16. JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Azam TV

    Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from...
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ni kama Azam tu na CHAUMMA ni kama Singida Black Stars

    Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA. Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga. Ikitokea Azam kajitutumua kafanya usajili mzuri ndio unaona anazungumziwa na kupewa jicho na...
  19. JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  20. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…