Kongole kwa Azam Media

Kongole kwa Azam Media

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,549
Reaction score
9,023
Leo ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza na Azam wameonesha mechi zote vizuri sana.Nimefurahishwa sana na muonekano mpya wa studio zao,tofauti kabisa na ule muonekano wa studio walipokuwa wanainesha kombe la dunia.
 
Nafurahi kuitazama Azam tv quality ya picha na video ni extra mile

Hakika bakhresa amefanya uwekezaji mkubwa Sana
 
Back
Top Bottom