awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Miradi ya umwagiliaji ya awamu ya sita ni ya ubabaishaji

    Rais wa awamu ya sita aliahidi kuwa ana lengo la kuweka ekari 500,000 chini ya umwagiliaji. Ni mpango mzuri sana. Ila utekelezaji wake ni kichekesho sana. Nasema hivyo sababu wamejikita zaidi kwenye umwagiliaji wa matone na visima. Umwagiliaji huu hauwezi kutufikisha popote katika kilimo...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  4. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa awamu ya sita ingekuwa ngumu sana kutawala

    Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia. Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja. Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuichagua kampuni kutoka Dubai kufanya kazi bandari ya Dar es Salaam

    Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kilimo, Miundombinu, Uzalishaji Kuipaisha Awamu ya Sita

    Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo, usafirishaji na sekta ya huduma, ambazo zimeboreshwa kupitia uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita inavyoimarisha Huduma za Afya Mkoa wa Simiyu, Hospitali ya Rufaa yakamilika

    Hatimaye Mkoa wa Simiyu unaingia katika kundi la mikoa yenye Hospitali za Rufaa hapa Tanzania: Simiyu ni miongoni mwa Mikoa ambayo ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambayo imejengwa katika Wilaya ya Bariadi umekamilika na tayari vifaa muhimu, bora na vya kisasavimefikishwa hospitalini hapo...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita, Vitendo vinaongea zaidi kuliko Maneno

    Tunasema tunataka kukuza ajira kwa vijana, tumepata mikopo kwa ajili ya kukuza Teknolojia. Tunasema Teknolojia ndio kila kitu kwa Dunia ya sasa, tunashauri vijana wajifunze na kuwekeza kwenye teknolojia, ni Vema na Haki, yet tunasababisha kitendea kazi muhimu (bundle) kisishikike; hapo tunajenga...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kumpongeza Rais Samia kwa miaka miwili akiwa madarakani

    Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania tulijiandaa kusikia ajenda nyingi walizokua wameanda kwa zaidi ya miaka 5 lakini mambo yamekua tofauti...
  13. Akilitime

    JamiiForums Tanzania Ajira Serikali awamu ya sita

    Wasalaam! Nani anaelewa kuhusu Ajira za SERIKALI ya AWAMU YA SITA? Kuna madaktari wetu wapo mtaani miaka 4 sasa. Kuna walimu wetu waliosomeshwa kwa pesa za wananchi, kwa mkataba wa kurudisha pesa hizo baada ya Ajira, lakini wapo mtaani miaka 4 na zaidi. Kuna wataalamu wetu WA kilimo wapo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita inajali Wananchi wake

    Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inawajali sana wananchi wake kupitia utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la mafuta la Tanzania na Uganda Serikali ya Rais Samia Suluhu imetoa Kiasi cha shilingi...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia inatekeleza ahadi zake kwa 100%

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwa mji wa Tinde. Hii ni baada ya miradi mingine mikubwa ya maji kukamilika ikiwemo: Mradi wa maji Nzega (Igunga Tabora) wenye thamani ya shilingi bilioni 6.72...
Back
Top Bottom