awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

    Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi... Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

    Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena. Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko. Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda unawezekana zaidi chini ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita

    Na Otieno Peter Baraka Sote tunajua kuwa ilikuwa ni ndoto ya Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kwa kuwa na viwanda vidogo,vya kati na vikubwa,Hayatti Dr John Joseph Pombe Magufuli aliinadi sana sera hii na tulivutiwa nayo kwani tuliamini kuwa...
  5. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  6. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

    Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa...
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  9. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Wizi unaendelea kutawala serikalini?

    Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya. Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

    Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania? Sukari kilo 5,500 Nyama kilo 10,000 Mchele kilo 4,000 Unga kilo 2,800 Petroli lita 3,300 Umeme Giza kama enzi za Richmond, Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais Samia, Kongole Awamu ya Sita Ngurdoto Imesimama Tena, Ajira Zimerejea kwa Watanzania

    Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO" Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

    Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola. Ngurdoto imerudi. JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine sehemu mbalimbali nchini, lakini akawa bize kujenga pagale la nyota tano kwao chato ===========...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Awamu ya sita ni Tawi la Serikali ya Awamu ya Nne?

    Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne. Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

    Wakuu Salam, Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu. Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo. Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  17. Kiby

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita na mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake

    Awamu ya jamaa yule hakuna mkuu wa taasisi kitengo au kaya aliyethubutu kutengeneza mkao wa kula jasho la wengine kupitia ofisi ya umma. Leo hii katika hii awamu ya sita kila mbuzi kwenye ofisi ya umma anatafuta urefu wa kamba yake ni mrefu kiasi gani ili ajipimie ulaji wa kula bila kunawa...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita haina Waziri machachari?

    Katika awamu zote zilizopita tulishuhudia mawaziri waliojizolea sifa na kukubalika na wananchi zaidi. Kiasi ambacho ilifika mahali wakaonekana tishio kwa wakubwa zao. Mfano tu unaweza kuongezea kama nitakuwa nimesahau. 1. Awamu ya kwanza ni waziri mkuu Moringe sokoine. 2. Awamu ya pili...
  19. voicer

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wahanga Wakuu Ukosoaji wa Awamu ya Sita

    Kwa kumbukumbu zangu tangu Rais Samia Ameingia Madarakani. Kuna watanzania ambao wamekutana na Rungu lake uso kwa uso. Baada tu ya kutumia haki zao za kikatiba kwa kusema yale waliyoamini kwamba hayakuwa sahihi kutendeka ndani ya JMT. Chini ya utawala wa Mama, Mimi ninaweka oridha ya wale...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la! Nataka nieleze sababu za hivyo: 1. Mosi...
Back
Top Bottom