Ajira Serikali awamu ya sita

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Wasalaam!

Nani anaelewa kuhusu Ajira za SERIKALI ya AWAMU YA SITA?

Kuna madaktari wetu wapo mtaani miaka 4 sasa.

Kuna walimu wetu waliosomeshwa kwa pesa za wananchi, kwa mkataba wa kurudisha pesa hizo baada ya Ajira, lakini wapo mtaani miaka 4 na zaidi.

Kuna wataalamu wetu WA kilimo wapo mitaani hawana dira juu ya Ajira.

utumishi & TAMISEMI

NI kweli kujiajiri NI muhimu lakini ukweli utabaki paleple kwamba si wote wanaweza kujiajiri. Lazima awepo mwajiri na mwajiriwa.

serikali ya awamu ya SITA tunaomba wakati mkiendelea na miradi mingine ya kimaendeleo, hebu tangazani Ajira za kutosha kwa vijana wetu walioko mtaani. Na sio kama zile Ajira za mwaka Jana.
 
Back
Top Bottom