awali

Awali is a small municipality located approximately in the centre of the Kingdom of Bahrain, a small island in the Persian Gulf. Founded in the 1930s by the Bahrain Petroleum Company, it is populated mostly by workers of various nationalities from around the world whose skills were needed in the setting up and running of the refinery at Sitrah. To its north are Bahrain's oil refinery and to its south are the oil wells and the desert area of Sakhir.
It has a population of 1769 citizens.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimefuatilia suala la matumizi ya Elimu Bila malipo kiukweli Serikali ifuatilie kwa kina, kuna kitu…

    Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kansela wa Ujerumani nchini China yaonyesha juhudi za Ujerumani kurejesha uhusiano wa awali wa na China

    Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya Sanxingdui yarejesha ustaarabu ambao haukujulikana hapo awali

    China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China. Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  9. JamiiForums Tanzania Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

    Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu. Sasa wameanza kupiga. Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya...
  10. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
  12. JamiiForums Tanzania Ni dalili zipi za Awali ukienda Kumtembelea Mwanaume Kwake akiwa na Bintiye 'Aliyeumbika Mashaallah' utahisi kuwa Anambandua / Wanabanduana tu?

    Kuna Familia nimetoka Kuitembelea leo kwa nilichokiona nikiambiwa yule Baba hamlali ( hambandui ) Mwanae ( Bintiye ) basi GENTAMYCINE nitaukweka ( nitapuu ) kuanzia hapa Mkoani Dar es Salaam hadi Kwetu Mkoani Mara nikiyapanga tu Barabarani kwa Kutoamini. Natamani sana nikiweke hicho...
  13. JamiiForums Tanzania Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Anaye hitaji mwalimu wa awali

    Nina certificate ya Early childhood education,kwa sasa naendelea na bachelor of Arts with education katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam. Kwa mwenye uhitaji,,namba ni:0659146850. Napatikana Mbeya mjini,jinsia ni (Me).
  16. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

    1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

    Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi. Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo: 1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…