augustine lyatonga mrema

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labour Party (TLP) where he was made the Party Chairman. He served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by Hon. James Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mr. Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board.Mrema is a member of the Chaga tribe from Kiraracha Village near Mount Kilimanjaro. He is the second of five siblings.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

    Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama. Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu...
  2. Erythrocyte

    Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

    Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu. Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria...
  3. Nyankurungu2020

    Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  4. maishapopote

    Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

    Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa. Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo NCCR ikaunganisha Nguvu Na CHADEMA Wakaweka mgombea Ubunge Bwana MTUI...na Urais Akawa Bwana...
  5. C

    Uchaguzi 2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

    TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
  6. cutelove

    Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

    Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura. Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni. **** Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa...
Back
Top Bottom