Nawezaje ku download videos na audio YouTube?

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,895
Reaction score
3,663
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.!

Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio.

Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia sana, lakini Leo nikiiweka inagoma kabisa, inasema "not permission mara strickted dah nafeli sana kwa kweli.

Natanguliza shukrani,
 
Unatumia simu au laptop?
 
Ingia Google download app ya YMusic app !!! mwaka watano natumia bila shida inakupa standard ya quality unayotaka kudownlod
 
Nawashukuru, ngoja nitulie nifanyie kazi then nitaleta mrejesho.!
 
Ahsanteni sana, Vidmate imenifaa sana.!
 
Back
Top Bottom