Audio: Ugonjwa wa Herpes Simplex na VVU/UKIMWI

Audio: Ugonjwa wa Herpes Simplex na VVU/UKIMWI

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,678
Reaction score
22,540
Kwanza kama hayajavuka Masaa 72, wahi Kituo Cha Afya, upewe Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Hiyo ni Herpes , Herpes inawapata sana wenye UKIMWI
---
1753199274503.png

---
---
Thread Rejea:
- Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada
 
Muhimu zaidi ni kuhakikisha kila mwenye akili timamu anayaelewa madhara ya ngono zembe au ngono okota okota kwamba leo kabebana na huyu kesho kabebana na yule,vijana wajielewe waoe wake zao waache ngono za ku-share.

Maradhi yoyote yakiwa hayajakupata utawadharau sana wanaojaribu kutoa elimu lakini yakikupata kwa jinsi yanavyotumia gharama muda pamoja na kukutia aibu unajuta kabisa.
 
Ukichunguza kwa miaka ya sasa ,wenye uelewa wa hayo magonjwa ndio wahanga wakubwa ,unaweza kushangaa .

Ni kama huku baharini wale wanaojua kuogelea ,wanazama kila siku mpaka wanakufa .... Vyuoni vijana wanapewa elimu ya kutosha ila kila siku wanaukwaa.
 
Herpes ukienda hospital unapata dawa za kumliza vile vidonda.

sema naweza kukubali kuwa herpes inakusababishia urahisi kupata HIV. Sababu ya vile vidonda.
 
Herpes zoster au mkanda wa jeshi ,ni tetewanga ya utotoni inayodhibitiwa na Kinga za mwili.Once Kinga zikishuka , ndo unaibuka kwa jina la mkanda wa jeshi

Tafuta mmea unaitwa nengo nengo ( securidaca longipedunculata) juisi Yako wiki unakaa sawa

Tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom