Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.
Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh
*Sifa zake
Video converter
video downloader
Picture converter
Audio converter
Document manipulation
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
📢 Wireless Audio Receiver - Earldom M73
💽 Portable USB Wireless Audio Music Receiver
🎶 Badilisha redio au spika yako kuwa ya kisasa kwa kutumia hii adapter ya Earldom M73! Inakuwezesha kucheza muziki kutoka kwenye simu yako kwa njia ya Bluetooth bila waya!
✅ Inafaa kwa magari, redio za...
🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI
📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors
Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi yaliyopatikana kutoka kwenye audio kwa usahihi na ufasaha.
🔊 Kazi: Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi
💻...
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.!
Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio.
Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia sana, lakini Leo nikiiweka inagoma kabisa, inasema "not permission mara strickted dah nafeli sana kwa...
Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa
Lead Section
The case of incitement involving former Ubungo Mayor Boniface Jacob (Boniyai) and human rights advocate Godlisten Malisa represents a high-profile legal proceeding in Tanzania. The defendants face...
Audio sound card 2 zinauzwa hazijatumika Bongo imported from UK
1 . M_Audio njia mbili haijatumika .Bei 350000
2.¹Focusrite 3rd generation
Bei 450000
Simu 0712652110 Dar
Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini????
Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
Wadau hamjamboni nyote?
Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki
Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie
Napendelea zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.