Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,852
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
 
hahahahha
pole...
IMG-20211224-WA0016.jpg
 
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Huyo demu Niko nae ghetto namdinya kijana kaa kwa kutulia......
 
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥

Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.😬
Haya mambo yana wenyewe, lkn pole asee.......juz tu hapa ulikuwa unamuwish "basdei".

lkn huenda kaporwa smu, usmuwazie baya. Shusha pumz kunywa maji ya baridi, kaa nje pgwa na upepo asilia.
 
Nakumbuka niliachana na girl wangu siku kama ya Leo tulipokuwa first year chuo,aliniaga asubuhi Ameenda town kwa dada yake lakin tangu alopoondoka asubuh hakupokea simu mpaka kesho yake aliporud saa kumi na mbili ya asubuhi. Niliumia sana nakumbuka ata usingizi sikupata.Aliporudi nilipomuuliza kulikoni alikuwa haeleweki nikaamua kumpiga chini mazima,baada ya kumpiga chini alitaka kujiua mpaka kesi ikafika kwa dean of students lakin msimamo wangu ulikuwa no
 
Sio kweli
Sema ukweli basi. Nina experience na haya makitu. Siwezi kuhangaishwa na mwanamke. Eti kwamba nitaumia yuko kupigwa na mwingine. Huyo nikihisi tu kuna shida mahala,kama hivyo amezima simu kwa siku muhimu,wala hanipi shida ni kumpiga chini tu. Nilishapendaga zamani sio sasa. Ndio maana nimesema umri ukiongezeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom