MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,772
- 2,032
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.
Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.
Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona. Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.
Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply. Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.
Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).
Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu