Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,565
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

EastAfricaTV

Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
 
Huyo sheikh asitutishe
Mbona hakumpiga mkwara Gwajima na Mashimoo?
Hao akina Mungwira wanahaki ya kuwa wanapotaka wao
 
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mw=enyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

EastAfricaTV

Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Ni makosa makubwa sana kugeuza Kanisa ama msikikiti kuwa jukwaa la kampeni za kisiasa.
Ikiwa jambo hili halitakemewa basi hatutabaki na nchi. Hata nchi zilizoendelea Kuna sheria kabisa kuwa mtu yeyote ni makosa kutumia jukwaa la kidini kumpigia kampeni mgombeaji yeyote.
 
Uko sahihi sana, ila viongozi wa dini wakiisifia ccm ni sawa, lakini wakijinasibu na cdm ndio inakuwa sio sawa!
 
Haya ndio madhara ya malezi , wazazi tunapaswa kushiriki kikamilifu katika kulea watoto wetu familia ndio msingi wa Taifa lolote.

Unakuta mtu alipaswa kuwa mwanasiasa lakini kwa bahati tu ikatokea akawa kiongozi wa dini,

Au unakuta alipaswa kuwa askari unamkuta ni muuguzi, lazima upate huduma mbovu.

Au unakutana na trafiki ambaye alipaswa kuwa mhubiri, badala ya kutimiza majukumu yake anaishia kukupiga Injili,

Mgawanyo wa majukumu jamani.
 
Nchi hii ukisikia "acheni kuchanganya dini na siasa".. Basi fahamu fika hapo wanaosemwa ni Viongozi wa dini walosimama kwenye KWELI..

CCM yenyewe ruksaaa na huwezi sikia MTU akisema JUU yao tena Rais wao anachangisha hadi fedha za kujenga MSIKITI ndani ya KANISA..

SHETANI ni lazima aendelee kukataliwa pamoja na kazi zake zote !
 
#KAMATI
IMG_20200926_130551.jpg
 
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

EastAfricaTV

Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Weka picha ya huyo kiboko wa ziwa victroria, maana nimeshindwa kutambua.
 
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

EastAfricaTV

Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Swaga za kipuuzi.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom