askofu

  1. Ujumbe wa wazi wa Mwenyekiti Bavicha taifa kwa Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba

    Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi. Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
  2. Mgogoro wa viti maalum CHADEMA: Mbowe ana mkakati gani wa kuvunja kambi ya Askofu Bagonza, kambi ya Askofu Mwamakula, na kambi ya kina Mdee?

    Askofu Bagonza Jana mchana, mtandao wa Jamiiforums ulitutaarifu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongea na umma wa Watanzania. Mpaka sasa hajasikika. Wakati tunasubiri hotuba yake, napenda kumkumbusha kuja na jawabu kwa swali lifuatalo: Mbowe anao mkakati gani wa kuvunja kambi ya...
  3. Askofu Mwamakula: Haiwezekani katika jamii wakakaa kimya wote!

    TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa nchini El Salvador! Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Kanisa Anglikana Afrika Kusini Alipotetea haki hakuwa...
  4. Papa Francisco aridhia ombi la Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro kung'atuka kutoka madarakani

    Baba Mtakatifu Francisco ameridhia ombi la Kung'atuka kutoka madarakani lililowasilishwa na Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro.Awali mwaka 2019 Baba Mtakatifu alimteua Monsinyori Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S kuwa msimamizi wa Kitume wa jimbo hilo akiwa na majukumu ya kufundisha...
  5. TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

    Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi. Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie Marehemu apate...
  6. Sauti ya Askofu Severine Niwemugizi

    SAUTI YA ASKOFU SEVERINE NIWEMUGIZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge - Ngara ni miongoni mwa Maaskofu wanaopaza sauti katika kutetea haki katika jamii. Tarehe 15 Desemba 2020 ametoa tafakuri kuhusiana na masuala ya haki...
  7. Machozi ya Baba Askofu Mwamakula kwa Watawala wa Tanzania

    Wapo waliotembea kwa miguu, baadhi yao walitumia baiskeli, wengine walitumia bodaboda, wachache walitumia Ubber na taxi huku wengi walitumia daladala. Lakini wote walishangaa wakitekwa nyara na kupelekwa ambako hawakutarajia kufika! Watoto wao wanahangaika, wake, waume pamoja na wenzi wao...
  8. Nilibarikiwa na Papa John Paul II mwaka 1990 nikiwa mtoto leo hii najiona mimi ni kama askofu

    Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini. Papa John na Mandela. Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba begani papa akaniona nikiwa juu ya bega la baba alinibusu na kunibariki. Leo najiona nina upako wa...
  9. Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

    Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao. Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania...
  10. Askofu Mwamakula: Kampeni dhidi ya UKIMWI Mbeya ziepuke udhalilishaji

    KAMPENI DHIDI YA UKIMWI MBEYA IEPUKE KUDHALILISHA UTU NA ISIKIUKE HAKI ZA BINADAMU! Siku chache zilizopita tuliwasikia viongozi katika Mkoa wa Mbeya akiwemo Mkuu wa Mkoa huo wakiongea mbele ya kamera kuhusu Kampeni dhidi ya UKIMWI. Viongozi hao walisisitiza kuhusu adhma yao ya kuanzisha...
  11. Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

    VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI. Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib...
  12. Askofu Mwamakula: Nani anavunja Katiba ya nchi? Nani wa kusema? Na adhabu yake ni ipi na nani wa kutoa adhabu hiyo?

    NANI ANAVUNJA KATIBA YA NCHI? NANI WA KUSEMA? NA ADHABU YAKE NI IPI NA NANI WA KUTOA ADHABU HIYO? Katika Ulimwengu huru, unaojali na kuheshimu haki na demokrasia; viongozi walioapa kuilinda Katiba ya Nchi huiheshimu sana na ikitokea wameivunja adhabu yao ni kujiuzuru mara moja! Wananchi na...
  13. J

    Mungu endelea kumbariki Askofu Dr Gwajima akatende uponyaji wa Roho na mwili pia!

    Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima. Mungu endelea kumbariki na kumtangulia. Wote tuseme Ameni. Maendeleo hayana vyama!
  14. Askofu Bagonza (Phd) juu ya anguko la Uchumi Tanzania leo kaandika haya

    UZOEFU TOKA ARGENTINA Wiki hii tumepokea ripoti tatu zinazofanana. Kwanza, iliyokuwa hotel maarufu ya Grudoto kubadilishiwa matumizi na kuwa bweni la chuo katikati ya kampeini za kitaifa kuboresha utalii. Kama tujuavyo, utalii unahitaji hotel nzuri. Pili, mgogoro kati ya kiwanda cha Dangote na...
  15. Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
  16. J

    Askofu Mtetemela: Wakristo tunapewa ili tutoe; hatutoi ili tupewe, wanasiasa jifunzeni

    Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili tupewe. Askofu Mtetemela amesema si sawa kutoa sadaka ukitegemea kupokea ama utajiri, mali au...
  17. Askofu Mwamakula: Mamlaka zinazominya haki na Demokrasia

    Mamlaka zote duniani zinazofinya haki, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kujumuika, demokrasia, nk hufanya mambo yanayofana kama vile: kutumia Majeshi na Idara za Usalama kuwadhibiti, kuwatisha na hata kuwatesa wapinzani, wakosoaji na watetezi wa haki; kutumia Idara za Usalama na pesa katika...
  18. Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi? Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
  19. J

    Mahubiri ya Baba Askofu Mtetemela pale KKKT Mbezi Beach yamenishawishi kuachana na siasa za "Kishabiki"

    Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach. Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa...
  20. B

    Askofu Gwajima amefurahia jimbo baada ya kusikia Halima Mdee hawezi tena kugomba

    Huenda ni furaha kwake na huenda hao 19 walichaguliwa waingie kwenye mtego iwe mwisho wao baada ya kuona wanasumbua majimboni, hawakujitambua au waliamua. kwa maamuzi ya sasa ya chadema mana yake majimbo yao yote waliyopanga kugombea hawataonekana kamwe maana yake nguvu imepoozwa majimb hayana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…