Ndugu Watanzania!
Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine.
Mgombea wa upinzani...
Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes...
Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM...
Kwanza sadaka sitoi
Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe
Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza amedai kuwa kuna tafsiri mbili zinazopingana za hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyoitoa hivi karibuni ya kuwataka Watanzania wapambane kupata...
ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA).
Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
Katika siku za hivi karibuni, baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, kuzungumzia suala la Katiba Mpya, kumekuwa na usambazaji wa picha zenye maandishi (graphics) kwenye mitandao ya kijamii zikimdai Benson Bagonza amesema:
"Nchimbi ni CCM anaongelea akiwa...
Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video
"Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika.
Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje.
Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa."
Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p.
Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki!
Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa mara kumuunga mkono kwa maoni na hoja zake!
Kitu ambacho huwa nashindwa kumuelewa ni yeye...
Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya...
Baraza la Viongozi wa Dini nchini limeiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufanya mapitio ya mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Marekani ili kulinda umoja na amani ya taifa.
Akisoma tamko hilo mbele ya waandishi wa habari leo Mei 26...
NJIA RAHISI YA KUIFUTA CHADEMA: AANDIKA ASKOFU BAGONZA
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema. Barua hiyo inatafsriwa kuwa ina lengo la kuifuta CDM au kuifungia. Maoni yangu yanapendekeza njia rahisi...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa sekta ya uchukuzi nchini imefanikiwa kuzalisha jumla ya ajira 198,480 kupitia ujenzi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma za usafirishaji.
Akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo bungeni jijini Dodoma leo Jumatano, Mei 13, 2026, Profesa...