Wanawake na pesa ni kama askofu na bible

Mtoto wa kisukuma anapiga zake soda na maandazi akiwaza sana uchumi wa mumewe umemlazimu kupiga soda moja na andazi moja, wakati alitakiwa awe na pakti la maandazi na soda at least 4.

Hapo anazitazama sasampa then anampiga jicho kimtindo anayezihesabu na kuimagine angekuwa ndo mumewe.
 
Hapo anazitazama sasampa then anampiga jicho kimtindo anayezihesabu na kuimagine angekuwa ndo angekuwa mumewe.
Hahahaha kwamba angekuwa na soda kama hizo 4+shehena ya maandazi
 
Mtoto wa kisukuma anapiga zake soda na maandazi akiwaza sana uchumi wa mumewe umemlazimu kupiga soda moja na andazi moja, wakati alitakiwa awe na pakti la maandazi na soda at least 4.

Hapo anazitazama sasampa then anampiga jicho kimtindo anayezihesabu na kuimagine angekuwa ndo mumewe.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom