Video: Tumpe pole askari huyu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Maaskari wanakutana na changamoto nyingi sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kilasiku.

Hili ni moja ya tukio la kuogofya lililompata askari akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao.

WOTE TUMPE POLE ASKARI HUYU

NB: SIO UUNGWANA KUFURAHIA MATATIZO YANAYOWAPATA MAASKARI.
 
View attachment 2871349

NB: SIO UUNGWANA KUFURAHIA MATATIZO YANAYOWAPATA MAASKARI.
Tunampaje pole kwa jaribio la kujiua?
 
Akome, wana roho mbaya sana hao ukiingia kwenye 18 zao. Wanajua rushwa tu
 
Hapa ni uzembe kazini anajua amekaa sehemu hatarishi bila kuchukua tahadhari yeyote ni uzembe ila pole sana kwake.
 
Back
Top Bottom