Rangi ya askari 3 wa Marekani waliouliwa Jordan wanaotaka kulipiziwa kisasi ni mchezo na kampeni za kisiasa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,921
Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza.

Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee kuleta maafa ndani ya Gaza na wanamuona raisi huyo kama ni sehemu ya washiriki katika maangamizi hayo,
Kuna maeneo ndani ya Marekani yanayokaliwa na wamarekani weusi wengi ambayo wamesema hawamtaki raisi Biden kufika maeneo hayo kuomba kura kwao kutokana na vita vya Gaza.Moja ya maeneo hayo ni Michigan

Wamarekani weusi mbali ya wao wenyewe kuamua hivyo vile vile wameweza kuwashawishi wamarekani wenzao wengi wa rangi nyengine kuwa pamoja nao dhidi ya Biden.

Inapokuja shambulio la kambi ya Marekani nchini Jordan kufa askari weusi peke yao na picha zao kusambazwa sana mitandaoni kinyume na vifo vyengine vya askari wa kimarekni inaonekana kuna mchezo maalumu wa kisiasa.

Kama tuhuma hizi zitasibu basi Marekani haitaki kujifunza kuwa michezo mingi ya aina hiyo iliyofanya na mwishowe kuangukia pua.

1706856620971.png
 
Unajisitukia tu, kwasababu Iran na nchi zako pendwa hakuna hata mzoa taka mweusi wakati Marekani hadi rais mweusi yupo.

So far, hii ni picha ya Askari wa Marekani waliopoteza maisha moja ya shambulio lililowai tokea uko Pakistan.
Hiyo miiko ya kutoonyeshwa picha za wahanga ziliwekwa lini?.
Kwamba Us inatafuta huruma kwa mtu mweusi?.
 

Attachments

  • us-soldiers-v3_wide-a148c6c5b547ccdac9fe502ad9ce7a795ad1e2c9-s1400-c100.jpg
    us-soldiers-v3_wide-a148c6c5b547ccdac9fe502ad9ce7a795ad1e2c9-s1400-c100.jpg
    144.3 KB · Views: 1
Hakuna siasa hapo hizi ni propaganda tu,za jihadists. Nchi gani duniani mtu mweusi anaweza kuchaguliwa na watu weupe kuwa awe kiongozi wao..!!!

Mwarabu kamwe hawezi kukubali kutawaliwa na mtumwa na hata uende Russia, Iran, India na China ndio kabisaa mtu mweusi hawezi kuruhusiwa kufagia hata choo cha stendi maanake wanaamini kuwa huyo ni nyani tu aliyevaa nguo.
 
Back
Top Bottom