askari polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Askari polisi aliyegonga gari la RPC Chatanda afariki dunia

    Timoth Philipo, askari polisi wilayani Busega amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mkoa wa Simiyu baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na gari lililokuwa likiendeshwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda. Taarifa iliyotolewa na kaimu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mambosasa awaasa Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kuleta tija jeshini

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi. Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
  3. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  4. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wanafunzi 156 wafukuzwa mafunzoni

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema takribani askari Polisi wanafunzi 156 wamefukuzwa mafunzo ya kijeshi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za utovu wa nidhamu na kufanya mambo ambayo hayakubaliki ndani ya shule ya Polisi IGP Sirro amesema hayo wakati alipofanya ziara...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  8. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

  9. Suzy Elias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Hussein Ramadhani akamatwa kwa kujifanya Askari Polisi. Na Maila Majula akamatwa kwa kudanganya kaibiwa gari

    Dar-es-salaam 15/02/2022 JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LIMEMKAMATA MTU MMOJA KWA KUJIFANYA ASKARI POLISI Tukio hilo limetokea tarehe 09.02.2022 majira ya saa sita na nusu mchana huko maeneo ya Vingunvguti Mtakuja ambapo alikamatwa Hussein Ramadhani, miaka 30, Mzaramo na...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wahusishwa matukio ya ukeketaji Mara

    Baadhi ya askari wa polisi wa Kanda Maalum ya Tarime/Rorya wanadaiwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwa kuwalinda watuhumiwa kutokana na ushawishi wa rushwa. Tuhuma hizo zimeibuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon...
  12. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Kama serikali isipodhibiti vitendo viovu vya Askari Polisi/JWTZ tutegemee mauaji zaidi ya raia kufanywa na walinzi hawa wa Amani

    Jumapili iliyopita nilisafiri kikazi toka Mbeya nilikokuwa kikazi kuelekea Rukwa hususan wilaya ya Nkasi ambako nilikuwa naendelea na majukumu ya kiofisi. Eneo la kazi Kwa mkoa wa Rukwa ilikuwa ni Kabwe na Kipili Wilayani Nkasi na Kasanga Wilayani Kalambo ambako kuna miradi ya ujenzi wa bandari...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

    Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga ==== Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa ufafanuzi kuhusu kusambaa kwa picha ya Askari akiwa na pesa zinazodhaniwa kuwa za Rushwa

    Jeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa. Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

    Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi. Lakini jambo la pili huyu mtoto...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

    Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. Kamanda wa Polisi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za waliokuwa watumishi wa JWTZ kuteswa na Askari Polisi haziwezi kutia doa mahusiano ya askari mmoja mmoja?

    Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano: Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

    Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi. Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
  19. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

    Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana. Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile nageuka...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
Back
Top Bottom