Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Mahakama ilisema imempata Philippe Hategekimana, 66, na hatia ya...
Miezi mitano tangu kutokea kwa tukio la Askari Polisi, Abati Benedicto kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 na kesi kufikishwa mahamani, kesi hiyo imefutwa kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosekana kwa mashahidi wa kuthibitisha tuhuma zilizomkabili askari huyo aliyekua akifanya kazi kituo cha...
Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo.
Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
Jumla ya Askari Polisi 10 wamekamatwa Jijini Kampala baada ya watuhumiwa wa wizi waliokamatwa na askari hao kudai kuwa kiasi cha pesa kilichotangawa kuwa kimerejeshwa hakifiki hata nusu ya nusu ya walichoiba wao.
Inadaiwa kuwa wezi hao waliiba Dola 110,000 (Tsh. Milioni 258.1) na Euro 700 (Tsh...
Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii.
Leo nashuhudia mengi kutoka...
Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime.
Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
Ajali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea...
JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo.
Jana askari wawili pamoja na familia ya hiyo walienda mashambani na kunyang'anya mbegu wananchi wakitaka kupanda mashamba yao.
Tafrani...
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika.
Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa.
Inakadiriwa kikundi hicho kina...
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na mauaji ya mtoto wa miezi sita.
Mwendesha Mashtaka Mkuu anasema uchunguzi unaonyesha kuwa maafisa wa...
Askari Polisi gani mwenye utu na Weredi kama ACP Theopista Mallya?
Shikamoo Afande
ACP Theopista Mallya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, naamini ni moja ya toleo bora la Askari Polisi tunaojivunia.
Aliwahi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Trafiki Tanzania Staff Officer Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu...
Timoth Philipo, askari polisi wilayani Busega amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mkoa wa Simiyu baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na gari lililokuwa likiendeshwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda.
Taarifa iliyotolewa na kaimu...
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?
Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.