askari polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mtuhumiwa mmoja akamatwa kwa kujifanya askari polisi, yatoa tahadhari kuelekea Dabi ya Kariakoo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoshwa na mateso ya Askari wa Maliasili, wananchi waamua kuchoma pori

    Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili. Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Muliro: Askari Polisi wa Nchi yetu wana akili kuliko wa nje wanaotegemea vifaa vya Uchunguzi

    "Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini. "Sasa uchunguzi wake utalinganisha na Mtanzania ambaye anatumia akili yake. Ni kweli kuna mabadiliko makubwa kwenye uchunguzi, tunasoma...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasishirikiane na Askari polisi wote

    Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima. Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao. Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu askari polisi ndo kapiga watu nje ya mahakama ya Kisutu leo, ‘allegedly’

    Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema. Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi. Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi? Au na yeye...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  12. GEBA2013

    JamiiForums Tanzania Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limewakamata watu 67 kwa makosa mbalimbali na kutoa taarifa ya kumshikilia askari mmoja wa kikosi cha usalama barabarani WP. 8032 PC Victoria aliyeshindwa kuchukua hatua kwa watu waliokuwa wanakinga mafuta kwenye gari lililopata ajali jana, Wilayani Igunga mkoani...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

    Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti. Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kenneth Nollo: Maslahi ya askari polisi yaboreshwe ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Mpango wa Taifa 2025/2026

    Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

    Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawarudisha Askari Polisi waliotimuliwa kazi

    Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele ya Jaji Mtembwa, Mahakama Kuu Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam ambayo inahusisha maaskari...
Back
Top Bottom