askari polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

    Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana. Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile nageuka...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

    Majuzi lilipotokea tukio la kutupiana risasi baina ya vijana wetu wa jeshi la polisi na bwana Hamza vimenifanya nifikirie saana juu ya uwezo wa polisi katika kulenga shabaha! Hamza alikuwa sehemu ya wazi! Lakini zilitumika risasi nyingi saana na polisi kumshambulia hamza. Mwishowe tulisikia...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

    Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga. Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar. Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno. Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

    Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa Askari Polisi nchini Tanzania afande Isaya Kawogo amefariki.dunia akiwa kwenye harakati za kumkimbiza ili kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa...
Back
Top Bottom