Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

SGS AGENCY

Member
Joined
May 16, 2026
Posts
11
Reaction score
14
IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY)

Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee.

Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba )
NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile:

1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti na miguu.
2.Inaongeza nguvu ( Energy) za mwili.
3.Inatibu maradhi ya kifua aina zote.
4.Inaondoa gesi tumboni na kulainisha choo.
5.Inayeyusha mafuta tumboni na kuzuia kitambi.
6.Inakinga na kutibu maradhi ya moyo yanayosababishwa na wingi wa mafuta mwilini .
7.Inasafisha mapafu .
8.Inaondoa sumu, kemikali, uchafu na takataka mbalimbali zilizopo ndani ya mishipa ya damu kwa njia ya haja kubwa.
9.Inatibu tatizo la mwili kupata ganzi na kunyoosha mishipa ya uzazi iliyosinyaa kwa jinsia zote.
10.Inazibua mirija ya uzazi.
11. Inatibu tatizo la kukosa hisia za kijinsia.
12. Inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia.
13. Inakomaza mbegu za uzazi.
14. Inatibu minyoo na vidonda vya tumbo.
15. Inatibu taifodi, malaria na U. T. I.
16. Inatibu ngiri, chango la uzazi na kudhoofisha tezi dume.


Dawa hii inatengenezwa na
AL -ILAAJU HEBAL AND SPIRITUAL HEALING CENTER - waliopo Pongwe Tanga Tanzania.

Na kusambazwa na SIBOMANA GENERAL SUPPLIES AGENCY (SGSA) - waliopo Moshi mjini nchini Tanzania.

Kwa mahitaji na maelezo zaidi juu ya dawa hii piga simu .
+255 717 445 411
+255 747 043 344.

KARIBUNI SANA.


IMG-20260127-WA0002.jpg


IMG-20241109-WA0007.jpg
 
Nailamba hapa ipo sawa sana,sema hamkuwepa anwani ya makazi mlipo
Tunapatikana makutano ya barabara ya Shaban Robert na Mafuta Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa walio mbali na Moshi tunatuma kwa njia ya mabasi na posta kwa gharama za mteja.
 
Kuna Hatari ya Kuwekewa Sukari Guru humo ukauziwa kwa bei ya Asali ya Kawaida.
Kuna Hatari ya Kuwekewa Sukari Guru humo ukauziwa kwa bei ya Asali ya Kawaida
ASALI YA UNGA ni mchanganyiko wa asali ya nyuki na mimea na iko katika mfumo wa unga kama vile uonavyo maziwa ya unga japo hii rangi yake ni kijani ambayo haijakolea.
Ladha yake ni tamu kama glucose hivyo haijatiwa ndani yake sukari ya aina yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom