Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani.
Kwa upande wa...
Wadau wa JF,
Naomba kujua changamoto za kuanzisha biashara ya kuuza na kununua asali hususan masoko ya ndani na nje ya nchi-vile vile namna ya kupata mikopo ya muzinga ya asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu.
Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada hii. Nimejaribu kwa kadiri ya uwezo wangu kuirekebisha kiswahili chake lakini nahisi hakiko sawa bado...
Habari za muda huu wana-JF!
ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, imedhihirika kwamba, uwezo wa asali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.