Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo
1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa...