arusha

  1. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Arusha yaokoa shilingi milioni 195.6 za wajasiriamali waliokuwa wamedhurumiwa

  2. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Lissu ya leo: Nimekumbuka Aprili 2017 Arusha ndani ya AICC. Alipoingia, hali ya hewa ikabadilika ghafla!

    Hakika, mapokezi ya leo ya Lissu yamenikumbusha mwaka 2017 mnamo mwezi wa Aprili. Wakati huo, Wakili Msomi Tundu Lissu alikuwa akiwania urais wa Chama cha Mawakili cha Tanganyika almaarufu kama TLS. Wapigakura pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa TLS tukafika Arusha. Siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  6. J

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya CHADEMA yamebakia Mara, Iringa na Mbeya kule Kilimanjaro na Arusha kutabaki historia

    Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani. Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
  8. JamiiForums Tanzania Mkt makini wa TLP Taifa Mhe. Dk Augustino Lyatonga Mrema anaendelea na ziara yake mikoa ya Arusha na K'njaro kukutana na watiania wa Ubunge na Udiwani

    Wakati chama chetu kikiendelea kujipanga sawasawa katika mtanange Wa Ubunge na Udiwani katika majimbo yote 264 na kata zote 3,956 Mkt. wa Chama ameongea na watia nia wa Ubunge/Udiwani jimbo la Arusha Mjini (Jana) leo ni Jimbo la Moshi Mjini. Wale wote wanaodhani wameitiwa kuwatumikia Watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakili Albert Msando achukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM

    Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru
  10. JamiiForums Tanzania Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani

    Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata shehena ya Bangi inayokadiriwa kufikia magunia 15 yakisafirishwa kwenda nchi jirani kwa kutumia gari dogo la abiria aina ya Noah. Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salumu Hamduni amesema...
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

    Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtoto wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Baptisti Tanzania, Ezra Arnold Mollel achukua fomu ya kutia nia Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
  14. B

    JamiiForums Tanzania TANROADS Biharamulo, Ngara wanadunda TARURA Arusha kama vile

    Maajabu ya tumbuzi ya Arusha ya meneja TARURA kuwa hajaleta wananchi kushuhudia vishindo vya awamu ya tano tumeyaona. Kuwa TANROADS au TARURA Biharamulo na Ngara wangali wanadunda maofisini hata katika ubovu huu wa barabara uliopo usio mfano? Ama kweli kama hii si moja ya maajabu ya Mussa basi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

    Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika. Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa. Watu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo. Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea. Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

    Wakuu Naomba kuuliza kwa hapa Arusha wapi tutapata Nabii, Padre atakaeweza kuombea mtu na akapona shida yake. Asante
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

    Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nauza unga wa mbegu za maboga (Pumpkin Seed Flour). - Arusha

    Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote. Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k Bei ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…