arusha

  1. JamiiForums Tanzania Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

    === Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili...
  2. JamiiForums Tanzania Machinga Arusha mwisho leo Novemba 2, 2021

    Machinga waote wanaofanya biashara zao barabarani na maeneo yote yasio rasmi jijini Arusha wamebakiza siku moja kuondoka maeneo yote yasiyo rasmi na kuelekea maeneo waliopangiwa. Maeneo waliotengewa ni pamoja na Kilombero,soko kuu, Mbauda, Samunge. Stand ya Kilombero. Kuanzia kesho tarehe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania RC Arusha na timu yake waonesha uwezo mdogo wa kuwaza kuhusu upangaji Machinga

    Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme. 3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani. 4. Soko la Kilombero...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha hiyo nafasi imekupwaya, nakushauri uwaachie wengine

    Hapo vipi! Binafsi sijawahi kumsikia huyu mkuu wa mkoa wa Arusha akiongelea suala la machinga. Ila mara kwa mara wamekuwa wakisikika wakuu wa mikoa wa Dar-es-salaam ndugu Amos Makalla na Mwanza. Ila huyu wa Arusha amerelux kama mkoa hauna wamachinga kabisa. Kwa waliopo Arusha na ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

    Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi namba saba wa Jamuhuri Katika kesi ya uhujumu Uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya. Francis Mrosso...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya Engosengiu Arusha inahitajika Lami, haipitiki

    Ni muda sasa wananchi wa kata ya Sinoni wanaotumia bara bara ya Engo wamekuwa wakilalamika ubovu wa barabara ya Engosengiu kutokea kipande cha makutano ya Reli, mjini hadi kwa mamalaizer kuelekea Nado, chakusikitisha hii ni moja ya bara bara ambayo ipo katika kata za mjini kabisa. Kipindi...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi yawataka madereva bodaboda Arusha kuwafichua wahalifu

    Mwandishi wetu, Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Chuo cha SAUT kampasi ya Arusha chang’ara tuzo ya utumiaji mzuri wa fedha za bodi ya mikopo nchini

    Mwandishi wetu, Arusha Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) imekitunuku chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kampasi ya Arusha tuzo ya utunzaji mzuri wa kumbukumbu wa fedha za wanafunzi. Mbali na hilo pia bodi hiyo imekitaja chuo hicho kuwa ni miongoni mwa vyuo bora nchini...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Master's programs za miezi 12 Institute of Accountancy Arusha

    Wakuu habari. Nina bwana mdogo anahitaji kusoma post graduate degree hapa bongo ama nje ya nchi. Master degree anayotaka isizidi miezi 12. Vyuo vingi hapa Bongo master degree zao ni miezi 18 ama zaidi ila nimesikia IAA inatoa hizo master degree ya miezi 12 ama mwaka mmoja. Nilikua naomba...
  10. JamiiForums Tanzania Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati Sabaya anafanya ujambazi, Polisi wa Hai, Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

    Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote? Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia azindua kiwanda cha kisasa cha nyama

    Rais Samia Suluhu amezindua kiwanda kikubwa nchini cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd, kilichopo wilayani Longido Mkoa Arusha chenye thamani ya Sh bilioni17 na kuahidi kumaliza changamoto ya Maji inayokikabili ifikapo desemba 5, mwaka huu . Akiongea katika uzinduzi huo rais Samia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arusha, Kilimanjaro, Mbeya zaongoza kwa viriba-tumbo

    MIKOA ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Unguja Kaskazini inaongoza kwa wanawake wenye unene wa kukithiri, maarufu kama ‘viriba-tumbo’ (obesity). Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna, ameeleza hayo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia mkoani Arusha ni ya Kichama au Kiserikali?

    Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye. Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Semeni na tuleteeni Viongozi wasiowajibika

    USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi" Akizungumza na Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja kuwatumikia, kuanzia Mkuu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

    Wana Jf Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…