Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu. Natafuta muuzaji wa zao la mwani kwa Arusha ambaye ana kibali cha kusafirisha nje ya nchi.

Mawasiliano 0776655978
 
Mwani ndio kitu gani
Miti ipo kama miwa inaotaga mtoni.
Screenshot_20210630-072602_1.jpg
 
Wewe shule ya msingi ulisomea ughaibuni? 😁😁😁😁😁 kulikuwa na swali common sana mwani huishi wapi? 😅😅😅 kwa sisi wa huku bara ndanindani swali lilitupiga chenga ila watu wa visiwani na pwani ilikuawa rahisi kwao
Ubaya ni kwamba sikusomaga kwa kilugha chetu hiki!
 
Wewe shule ya msingi ulisomea ughaibuni? 😁😁😁😁😁 kulikuwa na swali common sana mwani huishi wapi? 😅😅😅 kwa sisi wa huku bara ndanindani swali lilitupiga chenga ila watu wa visiwani na pwani ilikuawa rahisi kwao
Maana nilimsikia bro wangu msela mmoja akizungumzia mwani kuashiria (hamu ya kuchakata papuchi) utamsikia “nina mwani kicenge” ujue ana genye
 
inapandwa baharini? Maji ya bahari yalivyo na salinity unaweza otesha mmea wowote!!
Mwani unapandwa baharini mzee, ndo maana nimeshangaa kusikia mtu anataka mwani kutoka Arusha!! Mkuu raslimali nipe darasa kidogo kuhusu aina ya mwani unaopatikana Arusha, manake sie wa upande huu tunajua mwani unalimwa baharini(kina kifupi) , hususani Zanzibar, Mafia, na Tanga; na kuna wakati soko lake lilikuwa zuri sana.
 
Mkuu hakuna kilimo cha mwani Arusha Ila nilisikia kuna wauzaji Ila mpaka Sasa sijafanikiwa kuwapata
 
Nahisi huyo mtu atakuwa alikupiga changa la macho, manake hiyo ni kama kuulizia wauzaji wa kahawa Lindi!! Tafuta watu wa Mafia au Zanzibar, ingawaje mara nyingi hawa wakulima wanakuwa na wanunuzi wao tayari!!
 
Back
Top Bottom