KERO Kutopata hostel chuo cha Arusha Technical College licha ya kulipia hostel mwaka mzima

KERO Kutopata hostel chuo cha Arusha Technical College licha ya kulipia hostel mwaka mzima

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

sevyn

New Member
Joined
Jan 31, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata chumba, unaweza ambiwa msubiri matron akupangie chumba ila ukakaa mpaka jioni bila mafanikio yoyote na kutomuona matron...tunaomba tusaidiwe maana tumelipia kiasi kilichotakiwa kulipwa ila mpaka leo suala la kupata chumba hapo chuoni imekuwa shida tupu
 
Back
Top Bottom