Hakuna Flight ya Dodoma to Arusha. Kwanini?

Hakuna Flight ya Dodoma to Arusha. Kwanini?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,912
Reaction score
50,976
Inasikitisha mno.

Pamoja na kuwa na Afcon 2027.

Ila maajabu hakuna direct flight toka Dodoma to Arusha.

Air Tanzania, hii ni nini??

Yaani unatoka Dom, ili uende Arusha, lazima uwende Dar, Zanzibar, Kilimanjaro then Arusha.

Ukitoka Asubuhi unafika usiku.

What the he'll??

Mbona mnaharibu Shiraka???
 
Wanaona ndio cost effective, kuendesha shirika la ndege kama daladala,

Kwamba ndio njia ya kujaza abiria kwenye ndege
 
1781464168050.gif
 
Back
Top Bottom