arusha

  1. TODAYS

    Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  2. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  3. Bushmamy

    Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha. Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
  4. Suley2019

    Arusha: Polisi wawakamata Waliohusika na Mauaji ya Dereva wa magari ya Watalii Omari Msamo

    Machi 20, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuhusiana na kifo cha Omary Saimon Msamo kilichotokea huko Wilayani Karatu Mkoa wa Arusha Machi 16, 2024. Tulieleza kutokana na mazingira yaliyokuwa yamezunguka tukio hilo ilitubidi kushirikisha wataalam mbalimbali wakiwepo wachunguzi wa matukio ya...
  5. Mbabaishaji

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari. 2)Uchache...
  6. waziri2020

    Arusha: Mmiliki wa Baa ya Kipong mikononi mwa Polisi kwa kutengeneza Pombe kali bandia

    Jeshi la polisi Mkoani Arusha, linamshikilia Mkurugenzi na mmiliki wa Bar Maarufu ya Kipong ,John Casian Shayo kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria. Casian alikamatwa juzi usiku na mamlaka za serikali zikishirikiana na jeshi la polisi na baada ya...
  7. Mganguzi

    Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  8. Pfizer

    Miaka Mitatu ya Samia Arusha: TANESCO Pekee ndio waliompunguzia 'point'

    Wananchi katika Mkoa Wa Arusha wameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea kufanya na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Nchini hususani katika kuwaleta wananchi pamoja na utekelezaji Mbalimbali Wa Miradi ya maendeleo na kutoa ahueni ya wafanyabiashara kufanya Biashara zao Kwa uhuru. Wameyasema hayo...
  9. Influenza

    Naibu Waziri Michezo, Mwana FA adai Uwanja wa Arusha utachukua watu 30K kwa sababu Kwa Mkapa unaochukua watu 60K kwenye mkoa wa watu wengi haujazwi

    Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi watu hawataujaza uwanja huo ukizingatia kuwa Uwanja wa ‘Kwa Mkapa’ unaochukua watu 60,000 ukiwa katika...
  10. KING MIDAS

    Namna Faza Nelly alivyouawa kwa kuchomwa visu 9

    FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA... ✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno! Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo...
  12. Mributz

    Msaada: Nataka nitume mzigo kutoka Dodoma kwenda Arusha

    Naomba kuuliza nasafirishaje kitanda kutoka Dodoma kuja Arusha. Kwa mwenye kujua gari za mizigo Dodoma zinapopaki. Ahsanteni
  13. BigTall

    Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan. Pia, Wizara...
  14. DR Mambo Jambo

    Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  15. The-unknown

    Dereva wa Magari ya Watalii, Omari Msamo adaiwa kuuawa na askari wa jeshi la Polisi

    Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na kushushiwa kipigo kizito kilichopelekea kutoa uhai wake na polisi wa usalama barabarani baada kutuhumiwa...
  16. ChoiceVariable

    Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

    Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027. Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO...
  17. Shining Light

    286 Billion is to be used for the construction of the new stadium in Arusha City

    A 286 billion Tanzanian shilling deal has been signed by the government and China Construction Engineering Group (CRCEG) for the building of a new football stadium in Arusha. Minister for Culture, Arts and Sports Dr. Damas Ndumbaro, stated during the signing ceremony today, March 19, 2024, in...
  18. JanguKamaJangu

    Claud Gwandu: Ukifanya mahojiano na Waandishi wa Habari wa Arusha baada ya Interview wanakukaba

    Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
  19. Suley2019

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  20. Roving Journalist

    Watuhumiwa wa Uhalifu pamoja na Dawa za Kulevya zakamatwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu. Akitoa taarifa hiyo leo Machi 18, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
Back
Top Bottom