arusha

  1. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa Mkoani Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri katika kutoa Nishati Jadidifu. Akizungumza Julai 30, 2024 baada ya kuweka Jiwe hilo la Msingi Waziri wa...
  3. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

    Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica. Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika. Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
  4. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa madini mererani wachachamaa wapinga soko la madini kuamishwa kwenda Arusha tunasimama na kauli ya Rais Samia

    SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na Serikali na wachimbaji kwani wametanguliza maslahi yao binafsi. Wachimbaji hao walisema na...
  5. Tidah

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Daktari wa ngozi Arusha?

    Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena. Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi. Msaada tafadhali
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

    Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  8. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Nane Nane Arusha, njoo ujipatie miche ya Pixie, Dragon na Tangarine

    Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia. Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha haina msemaji?

    Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani. Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi wajengewa uwezo katika ukaguzi wa mitambo mizito, wasema wako tayari kwa ukaguzi wa mitambo hiyo

    Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo mizito huku washiriki wakibanisha kuwa utaalam huo walioupata unakwenda kuongeza ufanisi katika ukaguzi...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa mabasi mapya ya Arusha - Dar na masaa 24 yanasafiri, hivi ile treni ya Magufuli bado ipo?

    Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana. Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar...
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  13. J

    JamiiForums Tanzania House4Rent Arusha, Nyumba inapangishwa

    Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa. Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia. Kodi ni 100,000 kwa mwezi Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge Hakuna hela ya udalali.
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

    Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine. Huduma ya...
  15. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
  16. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

    Askari polisi jamii Kata ya Sakina - Arusha ambaye alikuwa pia dereva toyo kwa jina la Goodluck William afariki dunia baada ya kuchapwa viboko 70 kama adhabu aliyopewa na wazee kutokana na mila za Kimasai sababu ikisemekana ni kutelekeza familia yake, ambapo familia yake hiyo aliiacha Monduli...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Maswali ya kujiuliza ni kuwa; 1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za kugharamia mafuta lita zote hizi? 2. Bajeti inayotengwa upande wa vyombo vya ulinzi ikijumuisha mambo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

    Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao. Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha...
Back
Top Bottom