Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?