arusha

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

    Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa. Mdogo wa marehemu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Huduma ya Treni ya Arusha - Dar imerejea, ilisimama kutokana na sehemu ya njia ya reli kujaa maji

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumzia taarifa kuwa Treni inayofanya safari zake Dar es Salaam – Arusha ‘imekufa’ na haitaendelea kuwepo kama ilivyokuwa ikidaiwa na baadhi ya Wadau. Anafafanua kilichotokea hadi huduma hiyo kusimama...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Dereva Daraja II - Nafasi 7 Arusha -July, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 7 POST EMPLOYER Arusha City Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business trips...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

    Hivi kinachoishinda serikali kujenga miundombinu ya trams ni nini? nchi za wenzetu hii kitu imeanza miaka hata kabla hatujapata uhuru.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

    Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile. Kuna roho...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Arusha Imegeuka Kutoka kuwa Kitovu cha Maandamano hadi kuwa Kitovu cha Uwekezaji

    Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha. Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja. Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hamisi Heri: Kutoka Uasisi wa TANU 1954 Hadi Azimio la Arusha 1967

    HAMISI HERI KUTOKA UASISI WA TANU 1954, KURA TATU 1958 HADI AZIMIO LA ARUSHA 1967 Familia ya Hamisi Heri imeipatia Maktaba picha ya Hamisi Heri mmoja wa waasisi wa TANU, Tanga. Picha imepigwa Korogwe mwaka wa 1967 wakati huo Hamisi Heri akiwa Mwenyekiti wa TANU wa Mkoa wa Tanga akikagua miradi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walinzi Arusha wafunga mageti na kuondoka kwenye hospitali kubwa Seliani, wanadai milioni 42

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka. Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya mishahara ya miezi 6 shilling million 42. Ambapo mkuu wa kampuni hiyo ya ulinzi akisema waliwapa notice...
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

    Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
  17. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

    "Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai" Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa. Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa njiro Temdo Arusha

    Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi yapo. Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo. 2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana. Huduma...
  20. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

    Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
Back
Top Bottom