lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.
hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa...
Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari.
Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha.
Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa.
Usalama wa Wananchi Arusha hasa mitaa ya Tengeru umekuwa Mdogo.
Kuna matukio ya kiharifu yametokea kati ya Tarehe 12 na 15...
Umeme umekua ukikatika mara kwa mara hivi sasa. Jana (15/06/2024) umeme umekatika saa mbili asubui na kurudi saa moja jioni.
Leo umeme umeshinda siku nzima ila majira ya saa kumi na mbili jioni umekatika (ratiba kama ile ile ya mgao).
Hili linakuja bila taarifa yoyote kutoka Tanesco kuelezea...
Invitation:
Interested and registered architectural firms are hereby invited to express their interest in carrying out the “Concepts for sports fields in the new land at The School of St Jude, Sisia campus, Moivaro ward, Arusha”.
For more details, see the attached document.
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii.
Tanzania itawakilishwa na...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
Shalom,
Daah nimepita jumapili na jumatatu pale Arusha Kila mwenye Bar anafanya ubunifu wa kuweka Wahudumu Wenye Matako mazuri na makubwa ni full shangwe.
Sijui hii tabia ya Arusha na matako kwa Wahudumu wa bar chanzo chake ni nini, naona na jamaa wa bar hapa Dodoma wanapita njia hio hio.
Ee...
Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania
Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri kwamba angekunywa Sumu kama asingesikiliza Hotuba yake ya Bajeti ya Mwaka 2024/2025 wakati akiwasilisha...
Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho.
Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu.
Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya...
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
Mkuu wa Mkoa, Tuna changamoto kadha wa kadha cha kwanza, miradi ya maendeleo kutokamilika kwa wakati, Mkuu wa Mkoa kumekuwa na mabishano mengi sana kati ya Baraza, Mbunge na menejimenti, Kiasi cha kwamba haya yote yanadhoofisha utoaji wa huduma au miradi ya maendeleo kwa wananchi.
Na jambo...
Assalamu alleikum,
Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's
Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.