Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,399
- 4,264
uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha.
Uhai wa mtu ni very cheap sana
huko Arusha.
Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi vijana wa kutoka Arusha walivyokuwa na desturi ya kujikuta gangstas and thugs.
Hakuna wanachoambulia huko kwa kuthamini maisha ya u-gangsta zaidi ya kufanyika matokeo ya umwagaji damu sana.
Kuna wakati wilaya Tarime ilikuwa ni kama pango la ujambazi na vita za koo lakini kanda maalum polisi ili pambana hadi leo Tarime ni ya amani basi hivyo hivyo ifanyike hapo Arusha katika usimamizi mkuu.
Lakini pia cha msingi zaidi ni kuanzia ngazi ya familia na jamii. Watoto wengi wa Arusha wanakuwa na kukuzwa katika misingi ya kihuni sana kupelekea kutokuwa na hofu ya kufanya unyama wowote ule maishani.