Bila shaka Neno crypto currency sio geni, miongoni mwetu coin maarufu ya BITCOIN ilianza mwaka 2009 ukiwa na thamani ya kutupwa lakini bada ya miaka kidogo ilifikia Hadi thamani ya $67,000.
Dunia inaelekea huko hata hapa Kwetu TZ kuna fununu za miongozo kuandaliwa. Pia kuna wanadau Tayari...
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web.
Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
Namna ambavyo watumiaji wa WhatsApp wanaitumi app ya WhatsApp; itabadilika na soon WhatsApp itakuwa ni mtandao wa tofauti zaidi. Itakuwa ni sehemu ambayo sio lazima ukimaliza kuchat na rafiki yako kwenye WhatsApp, unafunga app ya WhatsApp na kufungua app ya Instagram ili kufahamu habari...
Habari za muda huu wanateknolojia
Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji wangu niweze soma vitabu vingi kwa muda mfupi
naomba kwa mwenye kufahamu App inayoweza kutumika...
App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM.
Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao...
Habari,
Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.
Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.
Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
adobe
app
apps
audio
biashara
dar
dar es salaam
free
graphics
je wajua
kazi
key
kitabu
kusikiliza
kusoma
mechanical
microsoft
microsoft office
office
pro
professional
software
speech
unatafuta
wajua
windows
windows 10
yako
WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa.
Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store.
📲 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙞𝙙𝙖, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.
Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida.
2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema.
3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba utamaliza lini.
4. Usiwe msiri kuuliza unapokwama na wala usiwe msiri kusaidia wengine. Hata hivyo...
Dear members,
I am using Tecno camon 17. This phone is a bit crazy. It downloads many apps by it self. Even when you uninstall the app it install it again. There is an app called SCOOPER NEWS. Every day I uninstall Scooper but the phone install it. Is this normal? Tecno acheni ulofa basi.
Habari wakuu.
Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10.
Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported.
Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..??
Msaada tafadhari.
Hello bosses.......
Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .
Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.