Text to speech apps

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
315
413
Habari za muda huu wanateknolojia

Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji wangu niweze soma vitabu vingi kwa muda mfupi

naomba kwa mwenye kufahamu App inayoweza kutumika kwa shughuli ya kubadilisha texts kwenda voices(reader) anisadie tafadhali
 
Nitumie email yako nitakutumia link kesho inasoma hadi kiswahili.

Mwaka 2018 nilikuwa nafanya kazi pahala fulani, kuna docs ilikuwa ni lazima ziwe kwa audio.
Nilikuwa natumia pistonsoft, ili kuboresha sauti nilikuwa naongezea sauti kutoka program nyingine iliitwa Ivona ambapo wasomaji ni Amy kwa UK English, Kendra kwa US nk.
Hii kwangu ilikuwa ni the best.

Kuna kitabu kinaitwa Ansons Law of Contract (wanasheria 1st year wanakijua) kilikuwa na page 800+ sawa na urefu wa masaa 74 niliwahi kukibadilisha kikatoka vizuri sana ila bahati mbaya sina kumbukumbu tena.
na kwa bahati mbaya tena ivona na piston soft nilizitafuta hazifanyi kazi tena.
 
asante boss
Librera ni nzuri, lakini ina mapungufu ya kuwa na User Interface isiyo friendly, ukilinganisha na ePrestigio Reader. So narecommmend hiyo. Nimetumia hii Kusikiliza Crime and Punishment, Brothers Karamazov, na novels nyingi kadhaa, bila kwa urahisi kabisa.

Uzuri wake pia inakuwezesha kuchagua sauti.
 
hii nayo naipitia nipime ipi bora
 
mkuu eprestrigio imemaliza kazi zote,ndicho nilkuwa nahitaj
Librera ni nzuri, lakini ina mapungufu ya kuwa na User Interface isiyo friendly, ukilinganisha na ePrestigio Reader. So narecommmend hiyo. Nimetumia hii Kusikiliza Crime and Punishment, Brothers Karamazov, na novels nyingi kadhaa, bila kwa urahisi kabisa.

Uzuri wake pia inakuwezesha kuchagua sauti.
 
Nitumie email yako nitakutumia link kesho inasoma hadi kiswahili.

Mwaka 2018 nilikuwa nafanya kazi pahala fulani, kuna docs ilikuwa ni lazima ziwe kwa audio.
Nilikuwa natumia pistonsoft, ili kuboresha sauti nilikuwa naongezea sauti kutoka program nyingine iliitwa Ivona ambapo wasomaji ni Amy kwa UK English, Kendra kwa US nk.
Hii kwangu ilikuwa ni the best.

Kuna kitabu kinaitwa Ansons Law of Contract (wanasheria 1st year wanakijua) kilikuwa na page 800+ sawa na urefu wa masaa 74 niliwahi kukibadilisha kikatoka vizuri sana ila bahati mbaya sina kumbukumbu tena.
na kwa bahati mbaya tena ivona na piston soft nilizitafuta hazifanyi kazi tena.
Ingependeza kama ungeweka link hapa atakayekuja in future akute kuna swali liliulizwa na solution ikapatikana hapa.
 
Back
Top Bottom