WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Namna ambavyo watumiaji wa WhatsApp wanaitumi app ya WhatsApp; itabadilika na soon WhatsApp itakuwa ni mtandao wa tofauti zaidi. Itakuwa ni sehemu ambayo sio lazima ukimaliza kuchat na rafiki yako kwenye WhatsApp, unafunga app ya WhatsApp na kufungua app ya Instagram ili kufahamu habari zinazoendelea mjini. Itakuwa unaweza kupata taarifa zote kupitia app ya Instagram bila kulazimika kwenda kwenye apps nyingine.

Kampuni ya Meta imekuwa ikifanya majaribio ya kuweka mfumo wa Channels. Mfumo huu utawezesha makampuni, content creators, wataalam na brands mbalimbali kutengeneza Channels ambazo zitakuwa zinatoa updates na taarifa mbalimbali ndani ya mtandao wa WhatsApp.

web 2 copy.png

Mambo ambayo yatakwepo katika Channels za WhatsApp​

  • WhatsApp itakuwa na channels za news, team za mpira, vyombo vya habari, content creators, wasanii, brands mbalimbali, channels za kiserikali na aina mbalimbali ya channels ambazo zitakuwa zinatoa updates kwa watumiaji.
  • Channels zitakuwa na button ya “Follow
  • Ukitaka kujitoa kwenye Channel, itakwepo option ya “Leave
  • Channels zitakwepo kwenye tab mpya ya “Updates” ambayo itakwepo kwenye tab ya Status.
  • Message za kwenye Channels zitakuwa zinafutika baada ya Siku 30
  • Admins watakuwa na uhuru wa kuzuia Screenshot zisifanye kazi kwenye Channels.
  • Hautaweza kuona orodha ya watu ambao wame-follow channel.
  • Hautaweza kuona namba za admins wa Channel
  • Admin atakuwa na uhuru Channel iwe huru kwa kila mtu kujiunga au kuzuia isipatikane kwa watumiaji wote.
  • Message za Channels sio encrypted hivyo WhatsApp inaweza kuziona. WhatsApp imesema inafanyia kazi mfumo wa encryption ambao utasaidia kuboresha usalama wa chats
  • Status na Channels zitakaa pamoja na zitakwepo kwenye tab ambayo itaitwa “Updates”. Utaweza kuona Status za marafiki na kuangalia updates za Channels ambazo umejiunga nazo kwa pamoja. Tab ya Updates itakuwa na Channels na WhatsApp Status kwa pamoja.
  • Meta imetangaza mfumo wa Channels utaanza rasmi kwa watumiaji wa WhatsApp na utaanza kwa watumiaji wa nchi za Colombia na Singapore.
  • Itakuwa ni njia rahisi ya kutuma habari, na taarifa mbalimbali kwenye WhatsApp. Watumiaji hawatalazimika kutumia Instagram, Facebook au Twitter kufahamu nini ambacho kinaendelea.
  • Itakuwa njia salama kwa sababu hauwezi kuona namba za admin na watu ambao wamejiunga kwenye channel.
  • Channels zitarahisisha kwa wafanyabiashara kutangaza bidhaa zao na biashara.

Mabadiliko haya yataleta utaratibu mpya wa kufuatilia habari, na taarifa mbalimbali moja kwa moja ndani ya WhatsApp; badala ya kwenda Twitter, Instagram na Facebook ili kupata taarifa mbalimbali kama vile habari. Itaathiri soko la Telegram, ambayo inafanya vizuri kwa kuwa na Channels nyingi na kuanzisha mfumo wa Channels kabla ya app nyingine hazijaanza kuwa na Channels.

WhatsApp-Channels-1_01.jpg
WhatsApp-Channels-1_02.jpg

WhatsApp-Channels-1_03.jpg
WhatsApp-Channels-1_04.jpg
 
Jambo ambalo Telegram wamelifanya kwa miaka zaidi ya 7 sasa..

Ndio wanafanya leo? Haitakuwa nzuri kiviile whatsapp inapendeza ilivyo miaka mitatu nyuma.

Binafsi naona wanaweka vitu ambavyo ni vya kukopi ubunifu + Unnecessary.

Hao META walikuja na feature ya POKE ktk Fb na haikuzaa matunda..

Telegram watabaki kuwa juu ktk creativity.

Refer
Group capacity mwanzo Whatsapp ilikuw inalimit 250 tu ila sahiv wanafik 500+ wakat huo Telegram inapokea hata members laki moja na kuendelea.

Privacy.. Telegram ndio most secured Messenger app, ipo well organized kuanzia txt vanishing etc hii nayo whatsapp wameiga.

Sticker, whatsapp wameiga kwa Telegram.

Ni mambo mengi sana whatsapp wameiga..

Whatsapp wajitathmin sana ktk creativity wanazidiwa na wale wa FOUAD MODS wapo ahead.. app sio yao ila wanauwezo mkubwa wa kuclone features na kuziembedd ktk whatsapp server ambazo zinaleta umuhimu zaidi.
 
Hakuna kipya chini ya jua , Kwa coverage ya watsap hao telegram wamebak kuwa maficho ya group za malaya
 
Jambo ambalo Telegram wamelifanya kwa miaka zaidi ya 7 sasa..

Ndio wanafanya leo? Haitakuwa nzuri kiviile whatsapp inapendeza ilivyo miaka mitatu nyuma.

Binafsi naona wanaweka vitu ambavyo ni vya kukopi ubunifu + Unnecessary.

Hao META walikuja na feature ya POKE ktk Fb na haikuzaa matunda..

Telegram watabaki kuwa juu ktk creativity.

Refer
Group capacity mwanzo Whatsapp ilikuw inalimit 250 tu ila sahiv wanafik 500+ wakat huo Telegram inapokea hata members laki moja na kuendelea.

Privacy.. Telegram ndio most secured Messenger app, ipo well organized kuanzia txt vanishing etc hii nayo whatsapp wameiga.

Sticker, whatsapp wameiga kwa Telegram.

Ni mambo mengi sana whatsapp wameiga..

Whatsapp wajitathmin sana ktk creativity wanazidiwa na wale wa FOUAD MODS wapo ahead.. app sio yao ila wanauwezo mkubwa wa kuclone features na kuziembedd ktk whatsapp server ambazo zinaleta umuhimu zaidi.
WhatsApp ina watumiaji wengi sana kuliko hata Telegram na Instagram. Na watumiaji wa WhatsApp wanafungua app hii kila siku.

Telegram itapata wakati mgumu sana baada ya mabadiliko haya kwa sababu WhatsApp itashika soko lake kubwa na kutumia power yake ya Instagram na FB.

Katika mabadiliko haya, inabidi Telegram ijipange vizuri kukabiliana na haya.
 
Namna ambavyo watumiaji wa WhatsApp wanaitumi app ya WhatsApp; itabadilika na soon WhatsApp itakuwa ni mtandao wa tofauti zaidi. Itakuwa ni sehemu ambayo sio lazima ukimaliza kuchat na rafiki yako kwenye WhatsApp, unafunga app ya WhatsApp na kufungua app ya Instagram ili kufahamu habari zinazoendelea mjini. Itakuwa unaweza kupata taarifa zote kupitia app ya Instagram bila kulazimika kwenda kwenye apps nyingine.

Kampuni ya Meta imekuwa ikifanya majaribio ya kuweka mfumo wa Channels. Mfumo huu utawezesha makampuni, content creators, wataalam na brands mbalimbali kutengeneza Channels ambazo zitakuwa zinatoa updates na taarifa mbalimbali ndani ya mtandao wa WhatsApp.

View attachment 2650207

Mambo ambayo yatakwepo katika Channels za WhatsApp​

  • WhatsApp itakuwa na channels za news, team za mpira, vyombo vya habari, content creators, wasanii, brands mbalimbali, channels za kiserikali na aina mbalimbali ya channels ambazo zitakuwa zinatoa updates kwa watumiaji.
  • Channels zitakuwa na button ya “Follow
  • Ukitaka kujitoa kwenye Channel, itakwepo option ya “Leave
  • Channels zitakwepo kwenye tab mpya ya “Updates” ambayo itakwepo kwenye tab ya Status.
  • Message za kwenye Channels zitakuwa zinafutika baada ya Siku 30
  • Admins watakuwa na uhuru wa kuzuia Screenshot zisifanye kazi kwenye Channels.
  • Hautaweza kuona orodha ya watu ambao wame-follow channel.
  • Hautaweza kuona namba za admins wa Channel
  • Admin atakuwa na uhuru Channel iwe huru kwa kila mtu kujiunga au kuzuia isipatikane kwa watumiaji wote.
  • Message za Channels sio encrypted hivyo WhatsApp inaweza kuziona. WhatsApp imesema inafanyia kazi mfumo wa encryption ambao utasaidia kuboresha usalama wa chats
  • Status na Channels zitakaa pamoja na zitakwepo kwenye tab ambayo itaitwa “Updates”. Utaweza kuona Status za marafiki na kuangalia updates za Channels ambazo umejiunga nazo kwa pamoja. Tab ya Updates itakuwa na Channels na WhatsApp Status kwa pamoja.
  • Meta imetangaza mfumo wa Channels utaanza rasmi kwa watumiaji wa WhatsApp na utaanza kwa watumiaji wa nchi za Colombia na Singapore.
  • Itakuwa ni njia rahisi ya kutuma habari, na taarifa mbalimbali kwenye WhatsApp. Watumiaji hawatalazimika kutumia Instagram, Facebook au Twitter kufahamu nini ambacho kinaendelea.
  • Itakuwa njia salama kwa sababu hauwezi kuona namba za admin na watu ambao wamejiunga kwenye channel.
  • Channels zitarahisisha kwa wafanyabiashara kutangaza bidhaa zao na biashara.

Mabadiliko haya yataleta utaratibu mpya wa kufuatilia habari, na taarifa mbalimbali moja kwa moja ndani ya WhatsApp; badala ya kwenda Twitter, Instagram na Facebook ili kupata taarifa mbalimbali kama vile habari. Itaathiri soko la Telegram, ambayo inafanya vizuri kwa kuwa na Channels nyingi na kuanzisha mfumo wa Channels kabla ya app nyingine hazijaanza kuwa na Channels.

View attachment 2650211View attachment 2650212
View attachment 2650213View attachment 2650214

Kutachafuka soon
 
WhatsApp ina watumiaji wengi sana kuliko hata Telegram na Instagram. Na watumiaji wa WhatsApp wanafungua app hii kila siku.

Telegram itapata wakati mgumu sana baada ya mabadiliko haya kwa sababu WhatsApp itashika soko lake kubwa na kutumia power yake ya Instagram na FB.

Katika mabadiliko haya, inabidi Telegram ijipange vizuri kukabiliana na haya.
Telegram inatumiwa sana na watu pia..
Na Telegram ipo low key mnoo na watumiaji wake wengi ni watu wanaojielewa sana.

Kama ilivyo ktk matumizi ya EMAILS.. mtu haingii mara kwa mara ila analazimika awe na Email. Same as Telegram kwa sasa kwa mtu anayejielewa lazima awe na Telegram same as Ki Tanzania mtu anayejielewa lazima awe na account JF.
 
Watu wanadhan wasap huwa haoni chats zao kupitia Encryption wanajidanganya sana. Encryptuon ina kinyume chake kinaitwa decryption kama unalijua hilo huwezi tatizwa na fact kwamba wqsap wanayo njia yao ya kujua kila kitu kinacho endelea kupitia app yao.

Ukitaka kula sharti uliwe kidogo
 
Nieleze ili nibaki mdomo wazi
Via Telegram unaweza fanya direct monetary transactions kwa kupita modded bots zilizokuwa developed through various API's

Via Telegram unaweza kutunza files za ukubwa mbalimbali kwa muda mrefu hili huwez fanya kwa whatsapp wala social media yoyote. 10gb +

Hauna haja ya kudownload media, media zipo live 24/7 kutokana na server zao kuwa kubwa Unawez access kila kitu in a matter of seconds.

Kupita Bots unaweza trade chap through Telegram..

Kupitia Telegram kila kitu unachotaka unapata (Like a Darkweb thing) kuna jinsi ya kudeal na BOTS wakuletee unachotaka.

Kupitia Telegram unaweza cheza games.. unaweza tengeneza Chat Bot lako na kuendesha mijadala.

Unaweza kuwa na Multiple accounts bila hata kuwa na number..

Aisee ni mambo mengi ila somo linatakiwa libase ktk matumizi ya BOTS ambayo kwa Whatsapp walifeli.. bot pekee lilikuwa la Michezo na limefeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom