angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

    Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan. Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto? https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
  2. JamiiForums Tanzania Natoa Siri kwa wanaume: ukitaka kumjua mume mwenza, nenda kazini kwa mkeo angalia wanaofanana na wanao

    Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa. Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Kinana asome alama za Nyakati, wana CCM hawamwelewi

    KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA WATENDAJI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na...
  5. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini umeona nini!?

    Je umeona nini;? 🤔
  7. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi uzinduzi wa kufungua daraja ulivyowaibisha hawa vigogo

    Hii sijui ni comedy au ni reality ila either way hii inajumuisha mustakabali wa miradi mingi ambayo inakuwa chini ya viwango katika nchi za kiafrika kutokana upigaji.
  8. JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)

    Nenda google play kisha tafuta "Matokeo ya darasa la 7" Na furahia teknologia hii
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

    Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote. Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii? Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
  10. JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

    Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI. Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana. Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Angalia Admin wa Account ya Uhamiaji Alichofanya kwa Mama G!.

  12. JamiiForums Tanzania Angalia hukumu za hawa wanawake na kinachoendelea bungeni

    Nina imani wanawake hawa ukute waliachiwa jukumu kubwa la kulea familia baada ya kutelekezwa.. Ugumu wa maisha ulipelekea wafanye haya,mimi sio mbobevu kwenye sheria lakini hivi wezi wanaoiba matirion bado wanadunda lakini wananchi hawa masikini wanahukumiwa vifungo vya kikatili kama hivi.Tujadili.
  13. JamiiForums Tanzania Wapi naweza angalia Derby ya Kariakoo hapa Nairobi?

    Wakulu wa nchito, Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia. Natanguliza shukrani
  14. T

    JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?
  16. JamiiForums Tanzania Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

  17. JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  18. JamiiForums Tanzania Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

    Angalia Dunia ukiwa sayari ya Mars. Hii ni picha imechapishwa na NASA ikionyesha Dunia kutokea Mars.
  19. JamiiForums Tanzania Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  20. JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…