angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

    Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo?? Source: Sky news.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Angalia mwenyewe kosi la Yanga na kosi la Simba, utaamua mwenyewe uende uwanjani au upotezee

    Yanga 1.Diarra 2.Yao 3.Kibabage 4.Bacca 5.Job 6.Aucho 7.Nzengeli 8.Mudathir 9.Dube 10.Aziz Ki 11.Chama Simba 1.Ayoub 2.Kapombe 3.Tshabalala 4.Chamou Karaboue 5.Che Malone 6.Debora Mavambo 7.Mutale 8.Augustine Okejepha 9.Steven Mukwala 10.Jean Charles Ahoua 11.Kibu Denga 😅😅😅
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  5. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Kitanda kizuri sana na godoro lake kinauzwa, angalia

    Kama unavokiona 270 tu na godoro unachukua ni 5*6 ukikipenda kiwahi haraka before kiende #SOLD SOLD SOLD GUYS🙏
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  9. aise

    JamiiForums Tanzania Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage. Nataka nihame hapa...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

    Wanaukumbi. ⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

  14. Informer

    JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ndio hii, angalia anguko lake! Fomu ya Urais iuzwe Milioni 200!

    1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo wa chama kimoja (1965, 1970, 1975 & 1980) Rais JK Nyerere hakuwahi kujaza fomu ya kugombea Urais...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia hapa jinsi Michael Jackson alivyorudishwa na Mchungaji Mfalme Zumaridi

  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

    Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli? SIJUI NI NCHI GANI HII.
  18. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia michango ya baadhi ya wanawake baada ya mwenzao kuomba ushauri juu ya kuchepuka akiwa na mimba

    Nilikua napitia mtandaoni nikakutana na hii kitu, kweli imenishangaza sana! Cha kushangaza zaidi ni michango ya wanawake wenzie. Hizi ndoa ni hi kuishi kwa akili sana.
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
Back
Top Bottom