amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya leo

  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila akitoa Mawaidha kwa Wakristu

    Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila akitoa mawaidha wa Wakristu.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Mkuu Gazeti la Mwananchi ashauri Serikali kubadili msimamo Uraia pacha

    Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango kwa Watanzania na fursa za Taifa kunufaika kiuchumi. Msuya ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Mei...
  4. kufanakupona

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII" Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari? Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa. Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania “Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki

    “Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki Nchi hizi mbili zinafanya kazi pamoja katika nyanja nyingi Tanzania na Uturuki wana ushirikiano mzuri wa kidiplomasia I Picha Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mheshimiwa Lt Jenerali (Mst) kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kujenga setelaiti yake

    Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan imetangaza kuwa inajenga setelaiti yake na tayari harakati zimeanza. Na Lulu Sanga Kwa mara ya kwanza...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania 'Vyombo vya habari vya Magharibi vilivyo na upendeleo vinavyojaribu kushawishi uamuzi wa wapiga kura wa Uturuki'

    ‘Biased Western media trying to influence decision of Turkish voters’ Several Western-based publications have been accused of biased reporting, with suggestions that this is an attempt to influence the voting behaviour of the Turkish public. AA "Turkish people will show these news outlets that...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha yangu ya leo..

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha yangu ya leo..

  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno moja picha yangu ya leo

    Ipe neno moja picha yangu ya leo.
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Polisi yazuia maandamano ya ACT Wazalendo

    Mimi thread zangu ni check and balance kati ya Awamu ya Sita na ile ya Tano, leo ngome ya vijana ya ACT wazalendo ilipanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa mama yao kipenzi rafiki wa demokrasia, diplomasia na maendeleo aliyekuja kuwapa uhuru walio ukosa kwa miaka sita ya Magufuli. Wamekutana...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno moja picha yangu ya leo

    Ipe neno moja picha yangu ya leo...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiafya ya ulaji wa maganda ya ndizi mbivu

    FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU Watu Hula Maganda ya Ndizi. Wewe Unazijua Faida Zake? How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber, vitamin c, magnesium and potassium. Bila shaka hujawahi kuona mtu akila maganda ya ndizi kutokana na...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

    Imamu aliyeteka vichwa vya habari mitandaoni siku za hivi karibuni kupitia video fupi iliyosambaa ikimuonyesha akirukiwa na paka mabegani wakati akiwa anaswalisha swala ya Taraweeh ametunukiwa tuzo. Tukio hilo ambalo liliibua hisia za watu mbalimbali baada ya kumuonesha Imam huyo kutoonyesha...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hofu yatanda shule ikidaiwa kuvamiwa na mapepo

    Shule ya msingi Sekaza Memorial iliyopo kata ya Kiringente, Wilaya ya Mpigi nchini Uganda imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia taarifa kuwa kuna mapepo yanawashambulia wanafunzi. Uongozi wa shule hiyo umesema baadhi ya wanafunzi katika wiki kadhaa zilizopita hawakuweza kuhudhuria masomo...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maziwa na unga wa karafuu ni tiba ya maradhi mengi

    MAZIWA YA NG'OMBE HALISI NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI. Kijiko kidogo cha Unga wa karafuu ya kusaga changanya na glasi moja ya maziwa chemsha kwa dakika 5 Kisha Kunywa kwa kila siku 1X3 kabla ya kula kitu tumboni kwa siku 21 au siku 31 inatibu Maradhi haya hapo chini👇 1-...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mganga alia kutapeliwa na wateja wake

    Mzee mmoja Salum Mchilowa (kushoto) akimfanyisha mazoezi mgonjwa Ally Said aliyevunjika Mguu Kwa ajali ya pikipiki Mtwara Mjini. Picha na Florence Sanawa Mzee mmoja mkazi wa Kijiji cha Kilomba, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ambaye ni mganga wa tiba asilia, Salum Mchilowa amesema kuwa amekuwa...
Back
Top Bottom