Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,836
Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?