Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138
VYAKULA VYA ASILI HATARINI KUTOWEKA.jpg

VYAKULA VYA ASILI HATARINI KUTOWEKA

Aina 26 za vyakula vya asili nchini Tanzania vipo hatarini kutoweka kutokana na watu wengi kukimbilia vya kisasa ambavyo baadhi vina athari kwa afya.

Mratibu wa Mradi wa Shirika la Slow Food Kanda ya Kaskazini, Lyne Ukio alisema hayo jana katika kilele cha Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) Kanda ya Kaskazini kwenye Viwanja vya Themi.

Ukio alisema umefika wakati jamii kurejea matumizi ya vyakula vya asili.

Alisema Tanzania imebahatika kuwa na zaidi ya makabila 120 na yote yana vyakula vyake vya asili, yakiwamo makande, mboga za majani, kuku wa asili na matoborwa. Source: Mwananchi
 
Mimi Huwa navipenda ila tatizo mazingira yaliyonizunguka ni ngumu kukuta chakula kinachouzwa ni Cha asli labda wali,kande kama hiyo kwenye picha haipatikani kabisa,hata nyumbani kwangu sina uwezo wa kuwalazimisha wapike,nikiwalazimiisha nitakula peke yangu,hawa wazaliwa wa mjini hawaijui kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom