Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.
Habari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu.
Ana mke na watoto,
Na kama...
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao.
Mifano hai
Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
Nashindwa kuelewa.
Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake?
Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara?
Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani?
I
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu
CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao
Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi va watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa...
Ama kweli tunatofautiana. 😂
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
ANGALIZO
AGUZA=AGIZA
NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA
HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI
JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA
NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA
BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.
Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Mbowe...
“A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi.
Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
Wanabodi,
Utangulizi,
Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa
Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni.
Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao.
Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.