ajira

  1. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  2. Samyjk

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Hello. Kwa anae hitaji mtu mzuru wa mauzo. +255745623885
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

    Msikilize
  4. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Huduma Zote: Ajira, Vyeti, Mikopo na Zaidi

    Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. Avn 7. Maombi ya transcript kwa kada za afya 8.Kurenew leseni na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira (ICT) wana tatizo la kutojibu email wanazotumiwa

    Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma. Inasikitisha kwamba unatuma email yenye tatizo muhimu kwenye akaunti yako, lakini inapita mwezi hadi miezi bila majibu wala...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Ajira Mpya VETA walioitwa Dodoma ‘kutelekezwa’, VETA yasema “Wanaandaliwa mafunzo elekezi 21-22 Mei 2026”

    Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?” Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  9. serikalibora

    JamiiForums Tanzania Ajira portal & utumishi ni mabingwa wa kupoteza muda wa watu

    Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini. Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma Nikatbook hoteli na kuilipia Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine Nikafika mapema...
  10. Joseph midimu

    JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  11. L

    JamiiForums Tanzania Boni Yai jukwaani Kahama: Achambua "mikataba ya day waka" ya CCM kwa Jeshi la Polisi, ajira zao, vyeo, mishahara, pensheni kandamizi

    Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka Askari mwenye V tatu Mshahara 625,000 /= baada ya makato Huna V hata moja 228,000/= Hii iliongezwa kutoka 215,000/= Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka ! Miaka 6 ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

    Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi Kada ya Uhandisi tunakosa barua za ajira na kuthibitishwa Kazini kwa miaka sita

    Watumishi wa kada ya uhandisi walioajiriwa tarehe 1 Desemba 2020 katika shule za sekondari za ufundi za serikali wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa katika utumishi wa umma kutokana na kutopatiwa barua za ajira wala kuthibitishwa kazini kwa takribani miaka sita sasa. Tatizo hilo linadaiwa...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira ya 2025 na 2026 BARIADI DC hatujapewa kabisa hela

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Mfumo wa Ajira Portal kwa Vijana Wanaotafuta Ajira

    Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi. Hali hii inatulazimu kutumia fedha nyingi kwenda Dodoma kwa ajili ya kupata msaada wa huduma ambazo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?

    Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Feb, 2026, tulifika ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine… Lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna update...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mbeya DC: Namshukuru Rais Samia kutoa fursa ya ajira 259 kati ya Januari - Mei 2026

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026. Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kwimba - Mwanza (Kada ya Afya) hatujalipwa fedha za kujikimu

    Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026. Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kudanganywa Ajira Mwanza: Natures Way

    Mimi mkazi wa Tabora. Naomba kuwasilisha taarifa kuhusu mfumo unaotumia ahadi za ajira kuwavutia vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini kwenda Mwanza kwa maelezo ambayo hayatoi ukweli kamili wa shughuli zinazofanyika. Mimi binafsi nilielekezwa kuwa kuna nafasi za kazi ya kusambaza dawa katika...
Back
Top Bottom