Kozi ya Architectural ina soko la ajira kwa sasa?

Kozi ya Architectural ina soko la ajira kwa sasa?

Swelana

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
432
Reaction score
1,280
Ndugu zangu nisaidieni,nataka kijana wangu akimaliza form six nimshauri asome kozi ya Architectural Design Ardhi University,vipi kozi hii kwa sasa ina soko kweli?
 
Ajira zipo Mkuu, ila ni moja ya fani ambayo imeingiliwa sana kwa kiasi kikubwa siku hizi siyo lazima usomee ili uweze kuchora,
Watu wengi tuu wanachora na hawajapitia hizo taasisi...
Aende akasome
 
Back
Top Bottom