KERO Walimu Ajira ya 2025 na 2026 BARIADI DC hatujapewa kabisa hela

KERO Walimu Ajira ya 2025 na 2026 BARIADI DC hatujapewa kabisa hela

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.

Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi wenzetu idara ya afya wao washapewa hela zao za kujikimu na sote hela inatoka serikali kuu.

Kwa ufupi ni kuwa walimu wote kuanzia tulioajiriwa Feb. 2025 hadi tulioajiriwa jan. 2026 hatujapewa kabisa hela ya kujikimu ila afya waliojariwa jan. 2026 wao washapewa.

Binafsi siamini kama Serikali haijatenga kabisa fungu la posho za kujikimu kwa walimu miaka miwili ya fedha kuanzia 2024/25, 2025/26 hadi tusubirishwe kwenye mwaka wa tatu wa fedha wa 2026/27 au kwamba Serikali imetoa fedha kwa watu wa afya pekee na wasitoe kwa walimu!!

Au pengine BARIADI DC sio moja ya Halmashauri nchini ndio maana waajiriwa wake idara ya Elimu wanasahaulika kupelekewa posho zao za kujikimu?
 
Walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.

Tumekuwa tukipeleka taarifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa hayaeleweki, ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka Serikali Kuu, wakati huo watumishi wenzetu Idara ya Afya wao washapewa hela zao za kujikimu na sote hela inatoka Serikali Kuu.

Kwa ufupi ni kuwa walimu wote kuanzia tulioajiriwa Feb. 2025 hadi tulioajiriwa Jan. 2026 hatujapewa kabisa hela ya kujikimu ila Afya waliojariwa Januari 2026 wao washapewa.
 
Back
Top Bottom