Salamu kwenu wadau, poleni na majukumu na mapambano ya kusaka ajira.
Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kufaulu usaili wa ajira za utumishi wa umma. Changamoto huwa ni pale unapofika kwenye chumba cha mtihani; unakutana na maswali 50/100, halafu muda ni mchache. Wengi wetu unakuta tunafeli sio...